Huko nilikimbia Korona. Nipo home bro. Tena ajabu nipo hapa Chuga makaburi ya Kaloleni hapo kuna ndugu yangu amelala hapo nimekuja kumuona. Nipo hapa Silver Palm kibishi bishi tu
Enzi hizo za lini we mwenyewe mtoto mdogo tu? Unajua enzi gani wewe? Miaka 75 hapa unanizungumzia mambo ya enzi? Kama unazungumzia hiki kizazi chenu hiki kinachovaa suruali za kubana zilizotatuka magotini na kuongea kwa kubana pua sawa lakini age yetu hii ni wale orijino kabisa pyua ngosha mwenye kila sifa