Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,320
Utanifanya nijaribu[emoji847]Haha ni tamu ndiyo, ila ukitaka tamu zaidi ni Altar wine. Bei ni elfu 10 tu
Wakueleze ukinywa utafeel aje...[emoji1787]hua inashuka chini so jiandae.......[emoji2089]Utanifanya nijaribu[emoji847]
Nitajaribu hizo 2,hiyo saint Anne nimeijua humu baada ya watu kuniuliza kuhusu jina langu..I wish niionje.
Sent using Jamii Forums mobile app
We kwenda huko. Inashuka chini wapi? We ulimsikia nani?!!Wakueleze ukinywa utafeel aje...[emoji1787]hua inashuka chini so jiandae.......[emoji2089]
[emoji41][emoji41][emoji848]nimeona kwa girls wawili last time baada ya kunywa walikua wanacheka cheka tu[emoji1787][emoji1787]ilikua kwenye party..unless kama ilikua mara yao ya kwanza kutumiaWe kwenda huko. Inashuka chini wapi? We ulimsikia nani?!!
Huyo bibi ako uwa anakudanganya tu unless useme kama una experience
Nitajitahidi next time[emoji4]
Nini inashuka chini?[emoji23][emoji23][emoji23]Wakueleze ukinywa utafeel aje...[emoji1787]hua inashuka chini so jiandae.......[emoji2089]
Ucjal usiku[emoji4]
Me mwenyewe sigusi kabisa[emoji16]mzee wa ceres mieNini inashuka chini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilishasema humu kwamba siwezi kulewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini inashuka?Me mwenyewe sigusi kabisa[emoji16]mzee wa ceres mie
Hope umeiona[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni bonge la HB aisee[emoji7][emoji7][emoji91]Hope umeiona[emoji4]
Thank you [emoji3590]
St anne inashuka[emoji23]
Sio Sana kawaidaWewe ni bonge la HB aisee[emoji7][emoji7][emoji91]
Kuna Kaka fulani nimekufananisha naye,
Sent using Jamii Forums mobile app