Selfika na JF: Snap it. Show it

Mungu gani unayemuabudu wewe.Siyo dini ni bali ni mfumo wa maisha na sifuati masharti yote nachukua mazuri tu.
Mungu Baba mwenyezi
Muumba wa mbingu na nchi
Na Yesu Kristo mwanawe,
Pamoja na Roho mtakatifu

Mimi namwabudu Mungu huyu mwenye utatu.


Mambo ganu ni mazuri ambayo unadhani yanapaswa kuigwa katika huo mfumo?.
Na yapi ni mabaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo lazima uvute bange au uwe na rasta.Do good to others and I will do the same for you ndiye mungu ninaye muamini.
 
Oh sawa
Rasta napenda sana ila sidhani km nywele yangu inaweza kubali kutengeneza hizo Rasta.

Sasa kwanini wengi wanavuta bangi??


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sehemu ya Imani na siyo lazima uvute.Alafu siyo kila aliyesokota nywele na Kuvuta bangi ni Rasta.Usiku mwema Ana ngoja nipumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…