Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Wazo zuri[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] itabidi unihamishie na kwangu mie hizo kwaya, nianze kuimba, kuabudu na kusifu.
Kama umenimiss nibariki na kapichaNmekumic dea, afu una macho amaizing, lol [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ooooh ahsanteeh san dea, ntafanya hivyoooh.Wazo zuri
Anza kudownload wimbo mmoja mmoja.
Ukikaa bila kazi download worship song moja na uisikilize.. I'm sure hutabaki kama ulivyo[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kesho ntaweka picha full verifieeehKama umenimiss nibariki na kapicha
Hahahaha, wengi tu humu hawapendi usumbufu. Hivi kuna wasumbufu humu eehKumbe wangu unaujua rafiki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kausha kinyamwezi rafiki yangu[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Sipendagi usumbufu rafiki
Huku kuna kila aina ya watu rafiki ni jinsi ya kujua kuishi nao mradi heshima isivunjike.Hahahaha, wengi tu humu hawapendi usumbufu. Hivi kuna wasumbufu humu eeh
Hahahaha, Rafiki hili ndio la muhimu kutokuvunjiana heshima ,lkn wasisumbue HahahahaHuku kuna kila aina ya watu rafiki ni jinsi ya kujua kuishi nao mradi heshima isivunjike.
Mchumba [emoji28][emoji28][emoji28]Huko kwenye game ndo kabisa Niko mweupe pee.
Nalijua tu la snake Xenzia na lile soduko sijui sodoku enzi hizo mhenga nimenunua naokia tochi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅kuna watu wengine humu wanaakili mbovu kinyama mpka unaishia kucheka tu ili kuruhusu mambo mengine yaendelee..Hahahaha, Rafiki hili ndio la muhimu kutokuvunjiana heshima ,lkn wasisumbue Hahahaha
Hahahaha, sawa sawa Rafiki[emoji28][emoji28]kuna watu wengine humu wanaakili mbovu kinyama mpka unaishia kucheka tu ili kuruhusu mambo mengine yaendelee..
Hii ni jf ni kama msitu wa kongo au amazon kila kitu kinapatikana humo[emoji28][emoji28][emoji28]
Kesho? Means Thursday!! Mweeh hebu hukoMie kesho ntaweka picha full verifieeeh
Dah,Leo umeamua
Weee acha u kivuruge khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mic u chimamy, na guu lako lol[emoji7][emoji7][emoji7][emoji28][emoji28]kuna watu wengine humu wanaakili mbovu kinyama mpka unaishia kucheka tu ili kuruhusu mambo mengine yaendelee..
Hii ni jf ni kama msitu wa kongo au amazon kila kitu kinapatikana humo[emoji28][emoji28][emoji28]
Wooooooooooooow jomoneeeeh toto guuh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Guu la bia ,mtoto Guu, Guu ,rangi chocolate
Baadae usiku wa saa 3 bas, ntaweka hivooohKesho? Means Thursday!! Mweeh hebu huko
Sijui nini kimetokea🙆♀️🙆♀️🙆♀️Usingeniquote nisingejua.thanksDah,Leo umeamua