Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee uko km mie, mwenzio nna PC yaan haina movie hat ya kudanganishia, ina vitu vingne tyuuh, mbaya zaid ina game la PS4 bas mie mwenyewe sijui wanachezaje, lol
Sas kuna mtu anashnda nalo hilo game naishia kumuangalia mie hat sielew chochote
ushamba mzigo
 
Huko kwenye game ndo kabisa Niko mweupe pee.
Nalijua tu la snake Xenzia na lile soduko sijui sodoku enzi hizo mhenga nimenunua nokia tochi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwenye game ndo kabisa Niko mweupe pee.
Nalijua tu la snake Xenzia na lile soduko sijui sodoku enzi hizo mhenga nimenunua naokia tochi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie PC angu folders alitengeneza ma broh, kwahiyo kaweka vitu vingne ambavyo hat mie mwenyewe sina hobby navyo, achilia kujua
,
Yaan PC ina vitu vingi hadi sio poa wakati mie mwenyew hat sina mambo mengi, ushamba mzigo kwa kweli
 
Si ushamba ni maamuzi
Mimi namshukuru Mungu imejaa kwaya tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…