Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kunipelemba bob πŸ˜†
 
Kiru nyie watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I seriously can’t believe huwa mnatilia maanani ule ujinga ninaoandikaga! Daah basi ndiyo maana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu akitaka kunifunga mdomo basi azungumzie mambo ya movie.
Nakuwaga mpole kama maji ya mtungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkwepu amewahi kuweka picha yake humu??
mkwepu jr tunaomba ujiselfishe.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kujibu tu comments za watu taabu sembuse kuweka picha, kuna moja niliifuma aliweka juzi juzi hapa sema siyo yake ni ya sehemu tu japo hata hiyo nayo nilishangaa kuiweka.
 
Ile hata mimi niliiona.
Mimi nataka aweke Yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ngoja nimkomalie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu akitaka kunifunga mdomo basi azungumzie mambo ya movie.
Nakuwaga mpole kama maji ya mtungi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mimi kuna mambo mengi sana siyajui na huwa naishia kuwa msomaji tu, infact mambo mengi sana huwa najifunza kupitia JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…