Kwa kujitetea sasa[emoji119][emoji119][emoji119]Ah uzuri ni kwamba hayana umuhimu wowote hayo mambo na wala siyo sifa mtu kuonekana anayajua, maana hata sisi tunaoyajua hayana msaada wowote kwenye maisha yetu ni mambo ya kupita na yako kwa ajili ya kurefresh minds tu.
Sasa kaka na wewe una uold school gani eti [emoji23][emoji23]
Hongera kazi nzuriYah..tunashona na sindano zetu special..tunapiga pindo pembeni namna hii[emoji3526]View attachment 1526245
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah afadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah uzuri ni kwamba hayana umuhimu wowote hayo mambo na wala siyo sifa mtu kuonekana anayajua, maana hata sisi tunaoyajua hayana msaada wowote kwenye maisha yetu ni mambo ya kupita na yako kwa ajili ya kurefresh minds tu.
Sasa kaka na wewe una uold school gani eti [emoji23][emoji23]
Aisee Yaani unamuonea huruma mtu ambae kaishi miaka 90+
Haupo serious
Avi Arad na sami raimi walijitahidi lakini kuweka kwenyw ramani marvel
Ulivyotulia tulia hapa kama sio wewe 😅 nina uhakika Saint Anne hata hajui we ni nani.Hongera kazi nzuri
Yaani huyu dogo nisimtambue Mimi??Ulivyotulia tulia hapa kama sio wewe [emoji28] nina uhakika Saint Anne hata hajui we ni nani.
Hebu nibariki basi na vidole ama macho
HahahaUlivyotulia tulia hapa kama sio wewe [emoji28] nina uhakika Saint Anne hata hajui we ni nani.
Hebu nibariki basi na vidole ama macho
Inategemeana na speed yako ya kusuka pia na mtindo unaosuka.
Hizo za mitindo huwa Zina complications kidogo kwahiyo zinachukua kamuda kukamilika,hata wiki au ukijitahidi Sana siku 6.
Kili moja inatakiwa iwe na pima 13 hadi 15.
Kuna hizi ambazo ni nyeupe[emoji116],ukimaliza unachemshia rangi then unashona..hizi ni mteremko tu,kwa mtu anayesuka haraka Kama Mimi siku 3 tu kili inaisha.View attachment 1526235
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumic tu mpenz....napitaaaa hapo
Utaweza?Aise nakuja kuchukua darasa
Hivi mkwepu amewahi kuweka picha yake humu??Aunt ake na Mkwepu Zoë naziona mambo zako. [emoji12] ama ni unasaka na pics kijanja
[emoji23][emoji23]nna kaushamba flani hivi mdogo wangu.
Jinga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]
Halafu ukitoka huko chimbo uje na Lizarazu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kujitetea sasa[emoji119][emoji119][emoji119]
NimeinyakaaaaNgoja Leo niweke yangu
Ila naitoa sasa hiviView attachment 1526317
Sent using Jamii Forums mobile app
Koho..naamNgoja Leo niweke yangu
Ila naitoa sasa hiviView attachment 1526317
Sent using Jamii Forums mobile app