Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

jana nlifata kauli ya waziri mkuu....alisema tnakarbishwa chuo cha MUM...nkaona ngoja nkacheki wtt wakicheza kwa fraha na kuifrahia eid..[emoji3059]...nilifrahi sana View attachment 1523951
Huku pia mambo yalikuwa bomba.
Ilikuwa napita nikasimama kusikiliza mawaidha.. yalikuwa mazuri kwa kweli.
IMG_20200731_083850_4.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom