cpo vzur ktk ushabik wa mpir ila nliwah kwend flomi cku 1 kuchek mpira wako frexh sana pale.njoo flomi mkuu, kiingilio bei iko resonable kbisaa...VVIP ni 20,000..iko under ground , dhen kna normal ambay unalipa 5,000. ukiingia kuna service kama karanga na soda kwa wapenda gambe pia zipo.....bt kwa mpira pia nyumbani park (samaki samaki) hapako vibaya kiviiiiiiile, au njoo airport bar mkuu hayo ndo maeneo ya mpira ambapo utapata 1 moto 1 barid bila usmbuf... maeneo yte nlokutjia yapo karb karb,vumilia morogoro sio mji wa madaha sana huku ni kma kjijin flani...