Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,273
[emoji39][emoji7]Happy Saturday ya'll. We can't hit bars nor clubs, but we all we need and that's a major dub.
View attachment 1516748
View attachment 1516745
Wapiiiiiih dea?
Quality fashionKuwa baba wa teenager ni kazi sana!
Moja ya wajibu ni kwenda kwenye maduka kama hili la Forever 21 [emoji1]
View attachment 1516646
Hii nzuriiih daddieeh
Unakunywaga? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji39][emoji7]
Hujaona chakula picha ya mwanzo?Unakunywaga? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ewaa ,subiri tu tukichange huku porini ,mzigo wa colbat ukitoka hii kitu ,naidondosha Dar then Lubumbashi
Si picha yangu.
Wakati hii nakamatia mzee , Mamaa/Wife anakamtia Posh Cayenne ,aweke baby walker store
Sana mkuu hata unywaji wake wa mafuta ni mzuri sana.
Kwema lakini NDINDA
Tag location nikufate πTukutane wapi sasa kuangalia hizo mechi?
Ama uje kwetu leo?