Tulishakubaliana.Hahahaha, mm niwe na roho mbaya kweli ? Yaani sura iwe mbaya na roho tena ,hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaTulishakubaliana.
Kuwa mwanaume shekeli sauti nzito.
Sura ni added advantage.
Sasa wewe ni full package unayo vyote.
Embu weka Picha bwana boss wangu.
Cresida ni aina ya gari.Safi.. I think Cresida ndio ilifanya nihisi hvyo
Yaaaan leo tukomae had aweke pic yake hapa.Tulishakubaliana.
Kuwa mwanaume shekeli sauti nzito.
Sura ni added advantage.
Sasa wewe ni full package unayo vyote.
Embu weka Picha bwana boss wangu.
Hahahaha unafanya cocastic asilaleTulishakubaliana.
Kuwa mwanaume shekeli sauti nzito.
Sura ni added advantage.
Sasa wewe ni full package unayo vyote.
Embu weka Picha bwana boss wangu.
Wee mjeda si uweke hyo pic au nikureport kwa Mabeyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stakiiiiiiiih daddieh had uwekeeh pic ako hapa ndo nalala.
Hahahaha, mnanishambulia ama, mnisamehe ndugu zanguYaaaan leo tukomae had aweke pic yake hapa.
Hahahaha, ooohWee mjeda si uweke hyo pic au nikureport kwa Mabeyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka nataka kulala mie, daddiiiieeh mmmh
Yaaaan mie wajeda nawaogopa km nn lol, naku quote huku natetemeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaStakiiiiiiiih daddieh had uwekeeh pic ako hapa ndo nalala.
Mbn mapema ,au Mr kakushtua kuwa half time imeisha ,urudi kwa pitchWeka nataka kulala mie, daddiiiieeh mmmh
Hahahaha, sasa km wWeka umvuruge kabisa cocastic
Hahahaha, jamani binti mrembo km wewe ,usiogope ,nitaKULINDAYaaaan mie wajeda nawaogopa km nn lol, naku quote huku natetemeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]