Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna huyo mmoja mweusi tako gumu anavyoruka ruka yaani shida sana hatulii sehemu moja...
Mungu wangu weeeeeeeeh tobaaaaah, khaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa si ana enjoy life bhanaah.
 
Mungu wangu weeeeeeeeh tobaaaaah, khaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa si ana enjoy life bhanaah.

Hata kama kuna mmoja huwa anastaha sana huwa katulia pale counter ya tips mwanzoni mwanzoni sema wana connection na watoto wazuri hapa mjini...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si unaweza ota uko machungani unachunga hao mbuzi mkuu

[emoji23][emoji23][emoji23] Ila tembele tamu sana ukiacha utamu wake pia lina madini mengi ya chuma ambayo hutumika kutengeneza damu...

Kwa wale ambao hupata kasumba ya kupungukiwa dawa i recommend juice ya tembele asubuhi, mchana na jioni...

Nilifanyia research hii kitu [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…