Weeeeeee wewe hujui unakua unaandika huku unatetemeka, si unajua magonjwa ya uzeeni tena kutetemeka. Sasa hako kamwandiko kafanana na kabinti kabisa tena alie chuo
Wenzako wanatuonyesha miguu wadada, wewe unatuonyeshe sikio ely una kwama wapi, tuonyeshe sura banha mwanaume haogopi kitu sura ya mbuzi ukauzu kama kawa