Ha ha, siyo mambo yangu chief, closer to the bone, the sweeter the meat

hamna kubagua vyama, niko na mbunge mtarajiwa wa chama tawalaHii ilikuwa Juliana chiefIlikuwa wapi hiyo.
Hii ilikuwa Juliana chief
Ha ha mpaka apite sasa...Awamu hii yeyote atakayepitishwa na chama anapita kwa kura nyingi sana..
Msalimie sana Mh. Mbunge..
Fanya usogee hata leo kwangu mimi juliana ni noma sana mkuuWanapasifia sana hapo. Hivi huwa kuna happen kweli?
Ha ha mpaka apite sasa...
Fanya usogee hata leo kwangu mimi juliana ni noma sana mkuu
New comer ila msomi kweli kweliKama alifanya vizuri na anakubalika na wananchi anapita...
Agenda ya sasa awe msomi na akubalike katika jimbo husika...
Akitanguliza pesa kwa wanakamati wanakula kichwa najua ushajua namaanisha nini vipepeo wapo wanaangalia kila kitu...
Poa kaka, piga kaziNipo mzigoni boss jana, leo na kesho naingia usiku...
New comer ila msomi kweli kweli


Jmn mbona maneno sana wkt huu uzi wa picha tu?.
Turudi huku kwny snap it showww it
View attachment 1504113