The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,445
- 20,809
Daaah

Daaah

Brother, nipo maeneo ya makaburi hapa kinondoni, nikutafute??
Heshima yako
Niko poa kabisa, za weekend?Mambo poa tu vipi mzima wewe
Brother, nipo maeneo ya makaburi hapa kinondoni, nikutafute??
Anyway kama ukienda boardroom niite bro..Serikali ya kichwa changu inaniambia nifike boadroom baadae...
Niko nabuy muda kidogo maeneo jirani hapa...
Anyway kama ukienda boardroom niite bro..
Umewakilisha vyema chama
Kamdada karembo, salamu nyingi zikufikie, ningekua sijapata mchumba ningechukua fomu ya kugombea
I miss you more mtarajiwa.
twambombo mkuu
Hujiamini mkuu, shida hiyo,I miss you more mtarajiwa.
Hivi ni Mimi huyu naye mmiliki mnyama mkali kiasi hiki![]()
Ntakupitia tarehe 12. hope you know.
Haha; sio kwamba swala la comfidance mkuu No;Hujiamini mkuu, shida hiyo,
Yes for sure he is one of the best actors to ever grace the industryYeah, tumebadili avatar yetuI like him asee acha kabisa. Nilikuja kupenda sana movies zake ujanani, zikanikaa basi ndio hadi leo hii.
Dayumn Giiirrrlll










