Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo vimekurudia sasa.

Hebu elezea kwanza, wewe ndio ulikuwa unaendesha au?
Hapana sikuwa naendesha mimi

Nilipata mishe ya fasta ikabidi nichukue bodaboda ili niwahi

Wakati safari inaendelea pikipiki ikayumba tairi ya mbele ilikanyaga upande ikateleza tairi dreva akashindwa kuimudu tukadondoka

Mguu ukaingia ndani ya tairi ya nyuma nikabuluzwa nikapata jeraha kama inavyooneka kwenye picha na upande wa goti

Suruali ilichanika hapo gotini

Nisingeumia mguuni ningekuwa nimevaa viatu
 
Doh!! Pole sana dear.
 
Pole sana mkuu, pikipiki ni basi tu ila ni usafiri hatari sana, hasa barabara kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…