Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine havitufiki vinakurudia kwa namna ya ajabu usotegemea. Tulia uuguze majeraha bwana!
[emoji1][emoji1]vya kwangu huwa vinamfikia mlengwa moja kwa moja hata kama ana nini vile.....

Akhsante mamy hapa nimetulia naugulia maumivu tu na huu upweke sasa sina hata wa kumudekea(mwanaume hadeki)[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…