Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi zangu mbona zipo Mkuu..
Hiyo niliweka ya kuchangamsha Uzi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzisaka ndo mtihani sasa. Liuzi lenyewe lireeeefuuuu [emoji16][emoji16][emoji16]

Kama huwekagi na kufuta mara moja basi poa sana. Nitazipata. Na nikizikosa nitarudi kukulalamikia [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi zangu zipo Mkuu..
Jael ndiyo anatabia ya kufuta..[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…