Jitahd uwe unakunywakunywa hata visavanah mwanamke bila alch kdgo naskia anakua hayuko romanticTatizo siwezi kunywa.
Vitu vikali situmii..labda Kama ni tamu.
Lakini hata iwe tamu bado siwezi kunywa..hata nikinywa wallah siwezi kulewa.
Usisahau Imagi na AltarNtajitolea tu....upige bottle moja ty ya Dompo ama Smirn off ice 3!
Tatizo kujaribu siwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku jaribu hebu acha kutuchanganya vichwa na kauli zako hizo
Kama umeamua tu kunipa hiyo hela sawa mkuu..Tamu sana utaipenda. Ila ukizima naenda kukulaza kwangu!
Imagi nampa chupa kubwa 1 ile akiimaliza kuna mawili, nikampumzishe kwangu ama nimrudishie pesa ya kununulia.Usisahau Imagi na Altar
SiwezJitahd uwe unakunywakunywa hata visavanah mwanamke bila alch kdgo naskia anakua hayuko romantic
kama 15,000 hivi!Kama umeamua tu kunipa hiyo hela sawa mkuu..
Kwanza hiyo hela ni sh ngapi niipangie kabisa kwenye budget zangu
Sawa mpendwa bwana asifiwe hahahaSiwez
Imani yangu hainiruhusu mkuu..uromantic uko palepale tena ukute nawazidi hata wanywaji.
We taja tu zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]Usisahau Imagi na Altar
Kumbe hela nyingi tu ya bure.kama 15,000 hivi!
Usifanye masihara na wine wewe! Savannah ni Apple Cider.Siwez
Imani yangu hainiruhusu mkuu..uromantic uko palepale tena ukute nawazidi hata wanywaji.
Amen[emoji3526]Sawa mpendwa bwana asifiwe hahaha
Mimi sijui kilevi hata kimoja.Usifanye masihara na wine wewe! Savannah ni Apple Cider.
Usharudi Dom?Mimi sijui kilevi hata kimoja.
Hata hiyo saint Anna nimeijulia humu baada ya watu kuihusianisha sana na jina langu.
Ila amini siwezi kulewa mimi
Unataka unipe hiyo Dompo uone ninavyoondoka na Hiyo 15000/=?Usharudi Dom?
Nafikiri ujiandae tu kumrudishia pesa maana mwenzetu keshasema ye halewi. Afe mmasai afe mmang'ati yeye halewi.Imagi nampa chupa kubwa 1 ile akiimaliza kuna mawili, nikampumzishe kwangu ama nimrudishie pesa ya kununulia.
Wacha bwana [emoji16][emoji16]Siwez
Imani yangu hainiruhusu mkuu..uromantic uko palepale tena ukute nawazidi hata wanywaji.
Kumbe hapa unataka tu ubishane muone kwanza. Hebu ngoja nichaji simu yangu mie kabla haijazima.We taja tu zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]
Ila kulewa Mimi nishawabishia hadi kina carbamazepine ..nilibishana nao sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mkinishinda bado Mimi nabaki na msimamo wangu.Kumbe hapa unataka tu ubishane muone kwanza. Hebu ngoja nichaji simu yangu mie kabla haijazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha bwana [emoji16][emoji16]