Uzuri ananifahamu nje ndani hivyo hawezi kuleta hizo fujo.Kwani kwako hajalala? Akija atakuambia ugeuke hata iweje usigeuke utamuua kwa huo mzigo
Ndio umeachiwa?Nilimuona jana tu, huko nyuma ooh haya ni majaribu ilà tutashinda.
Naomba kibarua mkuu.SHamba// irrigation schemes View attachment 1472064
Niachiwe na nani mtu wangu, inaniuma hadi leo unadhani nina mwingine zaidi yakoNdio umeachiwa?

Hahaha utaweza mkuuNaomba kibarua mkuu.
U raba huoo...


Khaaaah!! Kwa kuniibia tu haujamboNiachiwe na nani mtu wangu, inaniuma hadi leo unadhani nina mwingine zaidi yako![]()



Daaaah..😀
Nitaweza jamani.Hahaha utaweza mkuu
Sumbai kijiji gani hicho mbona kama town tu!!Kijijini raha saana.....View attachment 1472073
We si ulininyima!!U raba huoo...![]()
Khaaah!!!Shee kaushaa.. Tupia tena tupate mzuka mwingine
Jr![]()
Hivi hilo figa nitafute nini kwingine mumy, ilà tusinyimane tu kama vitabu vinavyotuasaKhaaaah!! Kwa kuniibia tu haujambo![]()


Kwani hata naweza kukunyima babe, i wish ningewezaHivi hilo figa nitafute nini kwingine mumy, ilà tusinyimane tu kama vitabu vinavyotuasa![]()



Hahaaa karibu mkuu ila day one lazma ukimbie ila mwisho wa kaz utatesa mjini viti virefuNitaweza jamani.
Basi tupeane na tupendaneKwani hata naweza kukunyima babe, i wish ningeweza![]()



Unanichukulia poa eeh? Hakimbii mtu, ni kazi tu.Hahaaa karibu mkuu ila day one lazma ukimbie ila mwisho wa kaz utatesa mjini viti virefu