,hapana nakupeleka sehemu nzuri kwa refreshment,then nakufanyia shoppingSitokuangusha.
Utanipeleka kupiga picha na Nelson Mandela?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za toka jana?
Sikuwa nakujibu wewe boss.
Namjibu aliyetaka kuona.
Hata mimi mwanaume bonge si mambo yangu aiseee napenda umbo la kina Maxence [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sasa kufika South Africa bila kupiga picha na Nelson hainogi baba.,hapana nakupeleka sehemu nzuri kwa refreshment,then nakufanyia shopping
Eee dada gari bovu linavutwa na gari zima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli.Eee dada gari bovu linavutwa na gari zima.
Sasa wote tuwe na manyamanyama hata hainogi.
Mifupa mwenzake nyama.
Shemeji yako kanitumia mda huu whatsapp.Nakuelewa vilivyo mam,
Inakausha nini?
Dada vingine huwa hatuulizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unanyamaza tu
Hahaha, mmenichekesha![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja ninyamaze basi[emoji85][emoji85][emoji85]
Itabadilika tuu baada ya muda usiwe na presha mama, afterall i changed my name siyo kwa sababu nnajificha, i notified kila mtu kwenye huu uzi kuwa nnabadili jina, to the wolf, tena kwa miaka mitano ijayoHalafu kwenye tapatalk kwenye notifications bado inaonyesha ile picha yako enzi za 13megapixel.
Mpaka ukifungua thread ndo inakuja dp uliyoweka sasa
Hakika fogoLipo kama hili?!View attachment 1470500
Basi mimi nitaenda kwake....kwa amu usiende, baki nyumbani mimi nitalala kwa wageni...
Wewe ulikuwa unafahamu hilo?Itabadilika tuu baada ya muda usiwe na presha mama, afterall i changed my name siyo kwa sababu nnajificha, i notified kila mtu kwenye huu uzi kuwa nnabadili jina, to the wolf, tena kwa miaka mitano ijayo
Mnatafuta sreesam[emoji23][emoji23][emoji23]Basi mimi nitaenda kwake.
[emoji38]fogo nn
Nishaondoka bwana, kesho jioni babe....kwa amu usiende, baki nyumbani mimi nitalala kwa wageni...
[emoji23][emoji23][emoji23] hakika.[emoji3][emoji3] Hili ndo la msingi.
Maybe, ila not with you.Mnatafuta sreesam[emoji23][emoji23][emoji23]