kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,239
- 17,677
Ndio.unaijua tofauti ya mwanamke na demu?
Mwanamke yuko kwenye mahusiano.
Demu yuko single
Ndio.unaijua tofauti ya mwanamke na demu?
Haha.!Ni mfupi hadi tukiwa tunasafiri halipi nauli, nambeba mgongoni kama mtoto
Basi sawa, mpendwa pia!!!Zishafutwa mpendwa.!!
Ndio.
Mwanamke yuko kwenye mahusiano.
Demu yuko single




kumbe, kwa hiyo hapa tayari nimejifungia milango ya barakaNilikuambia nataka mapacha usijisahaulishe.. Dec nitakuja Dar. Tucheze fair playKuzaa ni mpango wa Mungu babe, ukija tutajaribu tena kutafuta
Miss yoNimekuja my kaka
Sisi kwenye ukoo wetu hatuna mapacha, labda kwenuNilikuambia nataka mapacha usijisahaulishe.. Dec nitakuja Dar. Tucheze fair play
Ipi? Ya non filter au?Nmeshaweka au niweke ile
Nani aliifunga kwani?kumbe, kwa hiyo hapa tayari nimejifungia milango ya baraka
😂😂😂😂 raha jipe mwenyewe dear twin chibongeeeNimecheka sana Haki ya Nani![]()
SijuiNani aliifunga kwani?
Hivi wewe na Saint anne ni kweli mnafarijiana ama mnatusema kimafumbo siye vibonge??😂😂😂😂 raha jipe mwenyewe dear twin chibongeee
Kwani topic ya Reproduction inasemaje kuhusu kupata mapacha?Sisi kwenye ukoo wetu hatuna mapacha, labda kwenu
Kuna muda, na wakati! Vibonge niliwapenda sanaraha jipe mwenyewe dear twin chibongeee
We mdada...Hivi wewe na Saint anne ni kweli mnafarijiana ama mnatusema kimafumbo siye vibonge??
Like,zimevunja,record..
Sawa babe, mambo yote DecemberKwani topic ya Reproduction inasemaje kuhusu kupata mapacha?
We'll create them on own ways