Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Nitajie bhana. Ili niwashukuru.
We amini ni wengi
Nitajie bhana. Ili niwashukuru.
We amini ni wengi
Oohh nashukuru. Nilikumiss pia.Mie nilikumiss sana
Sasa mbona hukunitafuta eti!??Oohh nashukuru. Nilikumiss pia.
Nitajie bhana. Ili niwashukuru.
Abee mkuuSaint Anne
Naomba vyoteChukua mpendwa
Hata ukiitaji na kipande cha katikati nakupatia Saint Anne![]()

Wengi waliniuliza japo sio hapaNitajie bhana. Ili niwashukuru.
NiceKumenyeka haswaa.View attachment 1463774
Mkuu mbona wewe huweki picha sasa ?Nice
Zipo hapo juu kidogoMkuu mbona wewe huweki picha sasa ?
Aaaah ushazifuta tayari......Zipo hapo juu kidogo
Nimeweka leo
Zipo mkuuAaaah ushazifuta tayari......
Ukurasa upi huo ?Zipo mkuu
Wala sijafuta
Angalia post za leoUkurasa upi huo ?
Naona umetoa adhabu nzito kweli halafu kufika nakuta umefuta imebaki moja tu.Angalia post za leo
Hivi zako umeweka mkuu?Naona umetoa adhabu nzito kweli halafu kufika nakuta umefuta imebaki moja tu.
Mimi tena ? Uzi umeanza nipo natuma mapicha hadi nimesahau ziko ukurasa upi.Hivi zako umeweka mkuu?
Zangu zipo comments za mwanzo mwanzo za uzi
Wapi hukoSasa mbona hukunitafuta eti!??
Basi Mimi sijawahi ziona zako .Mimi tena ? Uzi umeanza nipo natuma mapicha hadi nimesahau ziko ukurasa upi.