Selfika na JF: Snap it. Show it

Baada ya kupitia self isolation ya covid -19, mwenyewe porini mwenye miti mingi hapa jirani yupo kama mita 200 for two weeks nimejifunza mengi sana, zaidi ni kuwa na muda wa peke yako, unajitibu mengi sana...muda huu miezi michache iliyopita ningekuwa bar probably na demu mpya mkalii ananichuna, nikishusha konyagi zangu pendwa, huku wife ananisubiri home...now five days working, 2 days relaxing, kwenye kijiji kimoja, nimepunguza konyagi, napiga wine huku nikijisomea vitabu vyangu...maisha yanaenda
 
Hilo goti au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…