rukia16
JF-Expert Member
- Feb 27, 2020
- 2,978
- 31,039
Nimeona panki



Iwe kesho basiTufanye iwe lini sasa..
Naona yangu huitaki lakini yako naitaka sana
The only thing to fear is fear itself

Chenga ya mwili
Sawa tena kesho Eid imekaa vizuri..Iwe kesho basi![]()
Hem' nikutoe out leo basi darling!!Sasa hili cheko linamaanisha nini mpenzi?
Hapana,Utaanza wewe mimi ndo ntamaliziaSawa tena kesho Eid imekaa vizuri..
Wewe utaanza mie nitamaliza
The only thing to fear is fear itself
Saint Anne mbona umefutaNimeona panki![]()
Naumwa mwenzio, tukae tu ndani leo mpenzi.Hem' nikutoe out leo basi darling!!
Duh hapa sasa ndipo tunaposhindwanagaHapana,Utaanza wewe mimi ndo ntamalizia
Maana wewe waweza nikimbia

.Kwamba hujaiona??😳😳Saint Anne mbona umefuta
Sijaiona naomba niwekeeKwamba hujaiona??😳😳
Ngoja sikukuu iisheTwendeni shamba.View attachment 1457575
Tatizo lako umekuwa mbishi kama anne.Duh hapa sasa ndipo tunaposhindwanaga.
Siku zote ladies first!!
The only thing to fear is fear itself
Fanya kuweka tena
Saint Anne hebu fanya mpango basiSijaiona naomba niwekee