Huko ndiyo nilikuwa, IDK nini kimetokea mpaka nimeporomoka hivi na siumwi kitu.Hebu ujitahidi uje hadi 58.
Una cm ngapi urefu
The only thing to fear is fear itself
Woii kuna miili haitaki shurba hata kidogoDuuuh!! Hivi mtu unapunguaje tu uzito na hauumwi[emoji134][emoji134][emoji134]
Mie nikipungua ni ninaumwa tena ninaumwa kweli kweli au nimeamua kujipunguza. Hivi hivi tu yaani ni mwili unasonga mbele kama injili[emoji134]
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani hata picha zinapigika basi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah all for you beibz! Let me take you to heaven with me my loves.The one and only babe i have, kumbe ni muhandsome hivoo😍😍
Mbona umefuta tena??
Hii uliwekaga?Tbt from my gallery 💎View attachment 1455653sahii nimekuwa slim hadi camera ya Simu naiogopa 😀
Picha gani mdogo wangu?Saint Anne iweke tena hiyo picha uliyoweka
Hiyo ya tege
Weka tuone kama kweli ni kivuli
Iweke niione