Aiii dada jitahidi kulaSi Bora wewe
Mimi nilipima ziko 50[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ujitahidi uje hadi 58.Aiii dada jitahidi kula
Me jana zilikuwa 52.3, alivyonitamkia roho ilifanya paa,akili ikasema hiki nini tena Mungu wangu [emoji23][emoji23]
Niliona tu ujumbe usio na picha, yani wewe hufai kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Si Bora wewe
Mimi nilipima ziko 50[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh!! Hivi mtu unapunguaje tu uzito na hauumwi[emoji134][emoji134][emoji134]How can I gain weight?
Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga [emoji13]
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.
Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?
Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .
Numbisa carbamazepine [emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii pia inafaa sana, tupia Picha dada Tuchat [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh!! Hivi mtu unapunguaje tu uzito na hauumwi[emoji134][emoji134][emoji134]
Mie nikipungua ni ninaumwa tena ninaumwa kweli kweli au nimeamua kujipunguza. Hivi hivi tu yaani ni mwili unasonga mbele kama injili[emoji134]
Katoto kazuri haka Jamani[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mwenyewe nilishtukaAiii dada jitahidi kula
Me jana zilikuwa 52.3, alivyonitamkia roho ilifanya paa,akili ikasema hiki nini tena Mungu wangu [emoji23][emoji23]
una shingapi nikuuzie nimeshakachokaKatoto kazuri haka Jamani[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Natamani kangekuwa kangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chibonge mwepesi mwenye shape na mguu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji3][emoji3] mwembamba mwenye nyama
Sina hata sh Miauna shingapi nikuuzie nimeshakachoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani hata picha zinapigika basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtoto mbaya,watoto wote duniani ni wazuri.
Wewe unakuwaga wapi lakini, yani kila nikiweka nakukosa!Nitumie.
Yah wote ni wazuriHakuna mtoto mbaya,watoto wote duniani ni wazuri.
Siwezi mkuuHivyo hivyo jitahidi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mashallah