My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,898
Yani Kama Super Glue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiwooo
Sema ukweli banaYani Kama Super Glue
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani akhsante kwa Apple[emoji8][emoji7]
Subiria hapo hapo sasa myJamani akhsante kwa Apple[emoji8][emoji7]
Ila bado picha yako sasa[emoji3][emoji847][emoji847][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni wa upande ule mwingine, nikiwa kwenye mfungo humu sionekani kabisaa
doooh! Kwanini usionekane?Mimi ni wa upande ule mwingine, nikiwa kwenye mfungo humu sionekani kabisaa
Ndo utararibu niliojiwekea mimi jamani, siku 40 nakuwa nje ya mitandao yote ya kijamii
Sana yani. I miss those days.Tarehe na kolonya vinapaswa kuraumiwa
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaahahahah
Mahaba yakiwa moto moto unaweza mpigia hata baba yako sms asome
ππ Ngoja niruhusiwe kwanza
Depal njoo umruhusu huyu mrembo aweke vituuππ Ngoja niruhusiwe kwanza
Oohh mitaa yangu kabisa kule mkuu, daah I miss Mbeya.
Hujambo wewe eti jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oohh kumbe ndiyo maana? Sasa nimeelewa!Ndo utararibu niliojiwekea mimi jamani, siku 40 nakuwa nje ya mitandao yote ya kijamii
Haya nimeshakuruhusu wawekee tu [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] Ngoja niruhusiwe kwanza
We cheka tu mama nagu lkn ujue nasuburi picha hapa au nimekosea wa kutoa ruhusa siyo Depal?πππ€£π€£
Sijambo mie jamani! U mzima wewe?Hujambo wewe eti jamani