Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani anakwama sana, anasukuma ndinga kama hilo halafu anashindwa kuopoa mtoto mzuri wa kuoccupy hiyo passenger seat. Muambie hayo ni matumizi mabaya ya BMW aisee. [emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], I like my passenger seat clean [emoji23][emoji1476]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah noma iyo bro, Mr. Ngabu kazi zake si mchezo ila sidhani kama zipo jf, fanya kunikopesha mmoja kibingwa one night stand nakurudishia mzigo wako [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah noma iyo bro, Mr. Ngabu kazi zake si mchezo ila sidhani kama zipo jf, fanya kunikopesha mmoja kibingwa one night stand nakurudishia mzigo wako [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yale maua si ya JF ingawa wapo waliosadiki [kwenye akili zao walidhani wako sahihi kumbe wapi 😁] kuwa eti ni ya JF!

Akili za baadhi ya watu humu huwa hazivuki mipaka ya JF. Kwao kila kitu ni JF tu....nauseating!

Haya hebu chagua hapo....







KANUSHO: Hakuna mtu hata mmoja wa JF hapo. Wanajimu msiolipwa msijihangaishe na kujiongopea kuwa mnawajua na kuanza kuwasingizia watu ambao hata hawahusiki kabisa na ambao siyo wao!!!!
 
Thank you for the disclaimer. Maana raia hawachelewi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…