Aisee hahahIsave tu ila hayo matumizi yasiwe nyeto mkuu itabidi unilipe
Hahahaha hamna natamani sana kufika ila sina mwenyeji tena juzi jumamosi nilikuwa karibu tu, kale kapicha nilikokatuma humu nilikapiga juzi ile ile na pale nilikuwa new bagamoyo beach resort.Warembo na mabest wote ruksaa... Sina ubaguzi... Msata hampendi kuja![]()
Oh dah.. Ila siku ile sikuwepo nilikuwa darHahahaha hamna natamani sana kufika ila sina mwenyeji tena juzi jumamosi nilikuwa karibu tu, kale kapicha nilikokatuma humu nilikapiga juzi ile ile na pale nilikuwa new bagamoyo beach resort.
Huwezi kuelewandiyo unajibuje sasa nifundishe



nilifuta
Oohh SawaOh dah.. Ila siku ile sikuwepo nilikuwa dar
Haaa nakielewa ila hapo ndiyo sijaelewa yaani kwamba ukiulizwa umeamkaje unajibu kidogo??Huwezi kuelewa
Angalia alivyojibu khantwe
Tusiowarembo tutakuona msataLeo nina hela mrembo aliye free tukutane lunch dar. View attachment 1220418View attachment 1220419
Aaah...! Kumambegese walah..!Lipa denda![]()



...! Nilipie wapi mkuu?Ndio.Haaa nakielewa ila hapo ndiyo sijaelewa yaani kwamba ukiulizwa umeamkaje unajibu kidogo??
Aah...! Kumbe unamaanisha hicho kidude?. Lips ngumu hizo mkuu,usipimenimechapia
=Lips denda
Nitakuwa external briefly