Selfika na JF: Snap it. Show it

Woyooo notifications za JF zimeanza kuonekana kwa notifications bar kama zamani, wapi Depal na team browser wenzie wenye gubu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara ya mwisho kuonekana hivyo kwangu ilikuwa ni june mwaka jana, Saint Anne naona mambo yameanza kuiva taratibu tu team browser watatuelewa. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Can't wait for mei mosi

Happy union's day everyone
 
Mbona sielewi mimi jamani love
 
Acha kabisa[emoji126][emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nimefurahi baada ya kuona hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…