Selfika na JF: Snap it. Show it

Uanaume kazi sana.
 
Chemicals za kuwakuza hubaki kwenye bone marrow na ngozi... Kumbuka hawa kuku huitwa mazezeta yaani sio sharp kama wa kienyeji
Kwa sasa unaweza usione madhara but just take this piece of advice hao kuku si wazuri kiafya
2 yrs sasa kwa wiki nawala kama x 3
Nitegemee madhara gani.?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…