Hv uyoga hua mnatoa wapi mm naukosa jaman
Hua naskia mtamu ndo maana napambanaga niuonje ila sijawahi upata
Aisee ndo unapatikana wapi sasaNi mtamu haswa upate anayejulia kuupika
HongeraNipo kikazi huku sumbawanga ndipo nilipo ufumania
Mostly sokoni na baadhi ya supermarketAisee ndo unapatikana wapi sasa
Sokoni wapiMostly sokoni na baadhi ya supermarket
Dada hupajui sokoni?! ....okay, nenda soko kuu huko utapata....ukishindwa kajaribu supermarkets za Kilombero sokoniSokoni wapi
[emoji23]aiseee kilombero ni wapi arusha au morogoro na mbna unijibu hvyoDada hupajui sokoni?! ....okay, nenda soko kuu huko utapata....ukishindwa kajaribu supermarkets za Kilombero sokoni
πππ yan umenishangaza kuuliza sokoni wapi kama tupo mkoa mmoja vile....huko nimetaja vya Arusha.[emoji23]aiseee kilombero ni wapi arusha au morogoro na mbna unijibu hvyo
Anyway Samahani kwa kuuliza aise
Mostly sokoni na baadhi ya supermarket
Wakubwa wanafaidi aisee
Ahaaa niliuliza kwa maana huku kuna soko na soko unajua kuna hvi nitapata kisutu ama hv kkoo au buguruni btw nitajaribu masokoni the Smarkets[emoji23][emoji23][emoji23] yan umenishangaza kuuliza sokoni wapi kama tupo mkoa mmoja vile....huko nimetaja vya Arusha.
Nenda sokoni sio gengeni
Hata supermarkets upo mweupe...nazungumzia zile supermarkets zinazouza na (sijui niiteje)Unaopatikana supermarket na sokoni ni tofauti na huo niliopiga picha.huu ni mweupe na hauwezi kuusafirisha kwenda mbali
Nenda Kisutu au Kariakoo....Buguruni kwani unafata ndizi πππAhaaa niliuliza kwa maana huku kuna soko na soko unajua kuna hvi nitapata kisutu ama hv kkoo au buguruni btw nitajaribu masokoni the Smarkets
Naweza fata matunda[emoji23]Nenda Kisutu au Kariakoo....Buguruni kwani unafata ndizi [emoji23][emoji23][emoji23]
HahaNaweza fata matunda[emoji23]
Haha nooo pale binafsi napapenda kuhemea vingi kule unlike kkoo vitu ghali,Haha
Buguruni naonaga ni kwa ndizi tu (mtu anaetoka mbali na pale).....wakazi wa Buguruni ndio wakanunue chochote tu