Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

muonekano wa usiku wa eneo ninaloishi.

kwa wewe ambaye ni "bon tauni" wa dar, niambie eneo hili linapatikana kitongoji gani?. nina zawadi yako.
IMG_20200409_192648.jpg
 
Dah hii inaweza kuleta shida.. Kivuli cha mtu dili ujue.. Between unajua watu wana vivuli vitatu?
mimi katika kivuli changu.

picha imepigwa dakika chache zilizopita nilipokuwa nafanya jogging kitaani kwangu.

Mshana Jr nakupa wazo.
unaonaje ukaanzisha thread ya kivuli changu challenge.
View attachment 1414116

Jr
 
Back
Top Bottom