Chart na picha imeishia wapi ile kauli mbiu?? Au tunasubiri huu ugonjwa uishe kwanzaNilijua na wewe umeamua kujitoa kabisa JF kama dada yangu B, ila huwa nakuona kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.
Asante, ila mie ule uzi umenikalia kushoto yaani sijui kwanini.
Wapi ndugu yangu watu wameamua tu kukimbia, gone are the days when we used to have fun in here.Chart na picha imeishia wapi ile kauli mbiu?? Au tunasubiri huu ugonjwa uishe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi ndugu yangu watu wameamua tu kukimbia, gone are the days when we used to have fun in here.
Daah aise
😃😃 ni milk yenyeweNa kahawa ya milk (sio stout)
Jr[emoji769]
We dada sio siri unavutia sana.Sema dah!freshDear ip_mob,
Sorry kwa kuingilia ila mimi nina ushauri.View attachment 1378655
Hii ni picha ambayo wewe umeiweka na umejaribu kufuta vitu vingi hadi imekuwa kama uchafu, badala yake ungeamua kufanya hiviView attachment 1378657
Yaani upige picha kwa namna ambayo haikulazimu kufuta futa namna hiyo.View attachment 1378658
Hii nayo unaweza kucrop tuu namna hii ukate vya siri visivotakiwa kuonekana View attachment 1378659 .
Samahani kwa kuingilia, ni ushauri tuu.
Mpanda katavi waterfall .ilikuwa ni siku yangu ya kipekee kufurahia uzuri wa tanzania yangu.View attachment 1408553View attachment 1408554View attachment 1408556
Waoh, Thank you.