Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hehe muambie kwa mtu anayeyajua majibu yako hilo jibu ni la kawaida sana, naona hajawahi kukutana na yale yenyewe hadi mtu anatamani kulia.
Kesi ya nyani nimepeleka kwa tumbili, sasa shamba limebaki mabua[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Me mwenyewe nachukulia kama ni urembo tu; and honestly wanapendeza mnoo. Aiaee ni vile tu nina huu mbichwa mrefu kama basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan we dada I wish nikiona hicho kichwa πŸ˜€πŸ˜€ ni Mara nyingi sana unakisema.

Tuacheni masihara jamani wale wanaoweka "way" uwa wanapendeza mno. Binafsi kwa sasa ni ngumu kuweka ile ya machine ila kwa kitana mitoko ya weekend NAWEKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…