Selfika na JF: Snap it. Show it

Soap dish zimekuja huu mwaka.. January ilikuwa ngumu hahahaha..
Mbavu nadhani hazihesabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakonda kwa mawazo au unapiga pasi ndefu au huli kabisa au kuna "lishe" fulani hupati au ndo asili ya mwili wako?


Mimi nina asili ya wembaba hata nikila mchemsho kila siku na chapati nane bado mbavu zinahesabika😂😂😂
 
Sasa unakonda kwa mawazo au unapiga pasi ndefu au huli kabisa au kuna "lishe" fulani hupati au ndo asili ya mwili wako?


Mimi nina asili ya wembaba hata nikila mchemsho kila siku na chapati nane bado mbavu zinahesabika
Hahahaha
Maisha tu yanachanganya sometimes.
Nakula Sana tu..nikiseto vizuri kamwili huwa kanarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…