Leo hata sijala vitu vizuri mimi jamani,, nilikuwa maporini huko napiga kazi mchana nikashindia zangu dona ndondo saa hii naenda kupiga sembe kurumagia..

Naona watu huwa wanachanganya hivi vitu viwili "uso wa kitabu" na "kitabu cha uso",, "facebook" ni "kitabu cha uso" ukisema "uso wa kitabu" unakuwa unamaanisha "bookface"..