Nyie mbona hamjaweka zenu?
Don Clericuzio
Wengine hapa tulishajitupia mpaka ikaonekana mnatuvuna ndo maana tukaondoka na waliobaki wanakazi ya kuchat na kusambaza likes.
Watu wanapost vitu vyenye wanajisikia nyie mnaona SHOWOFF ππ jamani hii karne nayo iishege tu