Kweli kabisa aisee![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huwez lala
kilicho akilini kitumie
Sawa sawaWekeni picha Kabla watoto hawajarudi shule ! Chat na picha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hyo mambo ila usizoee Sana babu utakuwa usingiz unausikia kwa toch tu Mana huwa nikianza kusaga nikiwa napiga na bia naiyona asbh hii hapaKweli kabisa aisee!
Niliposhuka A town tena nikazidi kuzitumia.
Yaani usiku kama mchana vile. Ni mwendo wa kula good time tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo member sana wa hizi mambo. Ilikuwa tu kwa muda kidogo, maana sijawahi kutumia tena toka December 2018.Mkuu hyo mambo ila usizoee Sana babu utakuwa usingiz unausikia kwa toch tu Mana huwa nikianza kusaga nikiwa napiga na bia naiyona asbh hii hapa
kilicho akilini kitumie
Mkuu hicho hapo kati chenye mashavu ni kitu ganii[emoji23][emoji23]
Mkuu hatari sana umezoom balaa salute kwakoMkuu hicho hapo kati chenye mashavu ni kitu ganii[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda Nike tuu?
Aisee... Utamu wa shok shok... Ladha yake nyama tupu[emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Oooh..haleluyaa ngoja jumapili nikakanyage mafuta kwa niaba yako uzidi kumiminikiwa na Baraka.Unapenda Nike tuu?
Usijali utapata zote.
Lol, usije ukakosa pumzi,halafu ukalegea, ukashindwa kushikilia simu ikaanguka, kisha nawewe ukaanguka, "wapendwa" wakafanya "njia" juu yako, wakakukanyaga halafu ukakufa tuu.Oooh..haleluyaa ngoja jumapili nikakanyage mafuta kwa niaba yako uzidi kumiminikiwa na Baraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa raba nakukubali na una guu la kiatu