Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Pombeeee hizi jaman 5n mlimaniView attachment 1344668
Nipo babe Niko na nyegeeez
Kwanini rafiki [emoji1]
Jr[emoji769]
Ntarudi muda si mrefu
msinune warembo wa bwana mganga
Mrembo picha yako inahitajika
Mie nasubiri yako hadi leo ujue,, Hebu do the needful basi mama..
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen[emoji120][emoji120]Wewe ndo saint Anne eeh binti wa Mungu,,,, vizuri sana, malaria mama yangu asante kwa maombi kidogo nafuu leo
Mbona huu udevu kama wako bro, kwema lakini?
Mie naendelea kuvua samaki tu baharini.
View attachment 1344875
Ahahahaaa. Udevu ninao...tena wenye rutuba na uliopaliliwa vyema kabisa.
Lakini huyo si mimi.
Huyo ni Richard Sherman. Mimi ni Nyani Ngabu 😄
Nimemuona na nilielewa ila nikaona nitie neno kuhusu udevu, najua bajeti na fungu la udevu wako ilivyo nono.
Nilikua natupia macho naona kidogo umerushia rushia vitabu kuweka mandhari murua.
Oh wow! Uko very observant mkuu.
Ndo ki library changu cha uongo na kweli hicho
Mbona huu udevu kama wako bro, kwema lakini?
Mie naendelea kuvua samaki tu baharini.
View attachment 1344875
Sea cliff most likely
Jr[emoji769]
[emoji8]Asante sana sakayo wangu
😍😍😍Leo naweka kumi na ushee dearMie nasubiri yako hadi leo ujue,, Hebu do the needful basi mama..
Sent using Jamii Forums mobile app