Wanaume tunapika kupambana na njaa, kiwe kitamu au kisiwe yote heri mradi tunashiba. Nilianza mboga nikijua unga upo kumbe uliisha ikabidi nipike wali. Sasa napiga wiki ya pili kamili sijala ugali.
Wanaume tunapika kupambana na njaa, kiwe kitamu au kisiwe yote heri mradi tunashiba. Nilianza mboga nikijua unga upo kumbe uliisha ikabidi nipike wali. Sasa napiga wiki ya pili kamili sijala ugali.View attachment 1343702