Lol una uhakika mmewazidi kiuchumi na kimaisha? Do your homework ushangae.
Kwenye issue ya kiswahili, kwanza ni kati ya lugha rasmi za hii nchi. Wachache wanaokichukia ni kwa sababu kinawakumbusha ufirauni waliofanya wanajeshi wa Tanzania kipindi cha vita yenu na Amin. Kwa wachache, kiswahili ni kumbukumbu ya wizi, ubakaji, na uonevu kwa raia, uliofanywa na wanajeshi wa Tanzania.