Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,786
- 182,952
Njanuary kipenzi. Sina bando.Nani anakuficha eti jamani auntie
Njanuary kipenzi. Sina bando.Nani anakuficha eti jamani auntie
Mla bata wa JF!
Sio vizuri jamaniiNdio, tena mwambie nimempa lile refuuuuuuu la mwaka mzima.
Pole sana jamaniNjanuary kipenzi. Sina bando.
Najua[emoji1787][emoji1787]We sema hallelujah tu
Hallelujah Haijaniachisha ntaacha kwa maamuzi yangu [emoji848][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu upogo Kampala Ug!?maana hapo hiyo kituo imenikumbusha mbali saa those days at Kampala Kuna msala ulitutokea.
Watu 8 [emoji57][emoji57][emoji57]
Eli79 [emoji57]
Jack Nicholson is a greater actor than De Niro, and definitely way greater than Al Pacino. Something's gotta give was a dope azz film.
View attachment 1341529
Ndiyo manake afu keshoake nije na uzi kushukuru fujo za KARMA au siyo.
Sikai Kampala. Nilipata ajali j3 nikiwa huko, na jalada langu ndio liko hapo na gari.
Halafu hata mie nilidhani waishi Kampala,, kumbe waishi wapi sasa Entebbe au??
Sent using Jamii Forums mobile app