Mimi hizo ndizi nakula Mara chache Sana usiku..Mara nyingi Ni wali.
Pilau Mara nyingi weekend j2.
Chipsi Ni kama breakfast yangu.
Kuna watu huwa wanasema chipsi za kujipikia hazinogi.. Mimi huwa zinanoga vizuri tu na huwa hazinikinai..Tena nikikata na kachumbari Basi jiko Zima linanukia.
Mchana wangu haujakamilika Bila ugali,ugali wa kwetu mlaini wa unga wa mahindi ya kulowekwa
Sent using
Jamii Forums mobile app