Selfika na JF: Snap it. Show it

Dona unaweza ukala bila mboga kwa ladha nzuri mdomoni huo uchungu ni mahindi yaliotumika tu wa usi singizie dona sembe ndo haina ladha mdomoni.

'mtindilo'
Boss Kama wewe Ni tamu kwako usilazimishe iwe tamu kwa kila mtu.
Yawezekana wewe unapenda Dona Mimi sipendi,unachukia sembe Mimi napenda.
Kila mtu na ale anachotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana mnakuwa na vitambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni Kiwavi jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelewa dogo?
Uanze kula ugali wa unga wa mahindi yaliyokobolewa na kulowekwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama anaandaaga hivi...anachambua mahindi na kuyapeta kisha anaosha anaanika ndio yanaenda machine.
I swear ugali wa home unakuwaga mtamu...Ila me nikishatoka home na ugali nasahau kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…