Selfika na JF: Snap it. Show it

Nini shida hadi leo kutukana hivi sijawahi kukuona unatoa maneno makali kiasi hichi Jamaniii 😢😢😢
Huyu ndugu ana shida mahali itakua..Msongo.
Mimi hakuna sehemu niliyomkwaza kabisa. Nilikua namwambia tu kua Jesus was a smartest person.
Ndio kaanza kutoa matusi.
Inashangaza sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…