Wengine tunatafutwa na Interpol. Bora mara mia tukutane uso kwa uso kuliko ku post picha hapa.Ungeweka hata dk 2 boss..
Yaani katika watu natamani kuwaona Basi wewe Ni mmojawapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah,umeyumbisha dish huku
Ndiyo pole maana ulijidai uko busy kugongelea nyundo kule ,halafu kumbe tunakuacha na gari stendiNiliomba mimi jana ipostiwe upya nikaishia kuambiwa tu "pole" ila nimeona kuna mtu kaomba leo imepostiwa upya,, tatizo nyota..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa, bora we interpol ,wengine Sie ,mmmh acha tuWengine tunatafutwa na Interpol. Bora mara mia tukutane uso kwa uso kuliko ku post picha hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aiseWengine tunatafutwa na Interpol. Bora mara mia tukutane uso kwa uso kuliko ku post picha hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ya leo umaarufu mzigo.Sawa sawa, bora we interpol ,wengine Sie ,mmmh acha tu
MTC | 101|
Nasubiri picha yakoSawa sawa, bora we interpol ,wengine Sie ,mmmh acha tu
MTC | 101|
Huko milimani ndio kuzuri Sasa.
Baharini nikafanye Nini hata kuogelea sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio matatizo ya kuishi dar.Khaa si unaenjoy upepo,, sasa kwa mfano na hili joto la Dar sisi tulio karibu na bahari ndiyo angalau tunaenjoy kaupepo joto linapungua kuliko wale wanaoishi kule kama unatoka nje ya mji..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo pole maana ulijidai uko busy kugongelea nyundo kule ,halafu kumbe tunakuacha na gari stendi
Basi Mimi nafurahije jamani
Halafu Mimi ninazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh sawa.
Nani akufanyie mpango?ah kumbe unazo sasa kinachotufanya tunaendelea kupigishana kelele hapa kuharibu uzi wa watu ni kitu gani,, hebu twende kule ukanifanyie mpango..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio matatizo ya kuishi dar.
Kipindi Cha baridi huku milimani full upepo .kwanza huwa hakuna joto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nachagua mlimani.Ah mie napenda vyote bahari na milima ila nikiambiwa nichague kimoja basi bahari ndiyo cha kwanza,, I love oceans.. I am Moana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani pale namtoa bradha tu..Hivi kati ya watu walioshikilia bango na mimi unaweza ukaniweka kweli jamani,, hapo umenionea kwa kweli.. numbisa na carbamazepine ndiyo walishikilia bango
Sent using Jamii Forums mobile app
Master, where have you seen that woman?
She looks like a living angel?