Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,317
- 829,433
- Thread starter
- #50,861
Wala bata wa JF
Bata batani, wana wa stress free zone Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada hii.. Hata kama uko kibanda umiza kwa mama muuza na jero yako ukila ngumu kumeza na cheni bloku...
Jr


