Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,574
Ooh sawahamna cigarette, Nimetumia Kama Paper nimetoa tumbaku yote nkaweka weed
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawahamna cigarette, Nimetumia Kama Paper nimetoa tumbaku yote nkaweka weed
Kwani hamkubebwa?Ai ninyi ndiyo wenye malalamiko siku ile si mlilalamika eti tumebebwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana
Za mwaka mpya? Happy new year DonMkimwona huyu mtu, mwambieni nina salamu zake.
Happy new year.
Depal
Karma
Sakayo
Saint anne
@atoto
yna2
Na wengine wooote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilihadimika hata haukuniulizia.Za upendeleo hizo happy new year
Jr[emoji769]
Thanks.Happy New Year To You.
Aisee, ulipotea sana.
Thanks.
Sijui hata nini kilinifanya nihadimike[emoji28][emoji28].
Nilihadimika hata haukuniulizia.
Mpende akupendae., walisemaga wahenga[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
True!Kuna muda tu unajikuta umebadili mfumo wa maisha.
It happens.
Mshana unapenda sana emoji.[emoji144][emoji144][emoji144][emoji848][emoji848][emoji848][emoji25][emoji25]
Jr[emoji769]